2 Kings 23:33-34

33 aFarao Neko akamfunga kwa minyororo huko Ribla katika nchi ya Hamathi ili asiweze kutawala huko Yerusalemu, naye akatoza kodi ya talanta mia moja
Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.4.
za fedha, na talanta moja ya dhahabu
Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.
katika Yuda.
34 dFarao Neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, na kulibadilisha jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafia huko.

Copyright information for SwhNEN